Loading BM Contractors
Loading BM Contractors
Kuhusu BM Contractors
BM Engineering Contractors LTD, inayojulikana pia kama BM Contractors Tanzania, inasaidia nyumba, maduka, ofisi, biashara na taasisi kupanga na kufunga mifumo ya usalama.
Dhamira yetu
Kuwasaidia wateja kuchagua mifumo sahihi kupitia ushauri wa site, quotation inayoeleweka, installation ya kitaalamu na support baada ya kazi.
Mifumo ya CCTV camera
Electric fence installation
Gate motor automation
Access control systems
Networking na internet setup
UPS na power backup solutions
Namna tunavyofanya kazi
Kuelewa site kabla ya ushauri wa mwisho
Kumwongoza mteja kabla ya kununua vifaa
Kuandaa quotation safi na ya vitendo
Kufanya installation kwa mpangilio mzuri
Kumsupport mteja baada ya installation
Omba site survey na BM Contractors watakuongoza kulingana na location, aina ya eneo na mahitaji yako ya usalama.