Bidhaa halisi
Hikvision, Tiandy na bidhaa nyingine za security kulingana na mahitaji ya project.
Loading BM Contractors

Security • Safety • Smart Systems
BM Contractors tunakusaidia kupanga, kusupply, kufunga na kusupport CCTV, electric fence, gate motors, access control, networking na power backup Tanzania.
6+
Huduma kuu
32
Camera packages mpaka
TZ
Tanzania

Professional Framework
Uchunguzi wa Site
Makadirio Wazi
Msaada wa Kazi
Kwa nini BM
Tunahakikisha usalama wako hauna mashaka kwa kutumia vifaa vya kisasa vinavyodumu na mafundi wenye uzoefu wa hali ya juu.
Mifumo thabiti inayokupa amani ya moyo popote ulipo duniani.
Hikvision, Tiandy na bidhaa nyingine za security kulingana na mahitaji ya project.
Package maarufu za CCTV
Package nzuri ya kuanzia kwa nyumba, maduka madogo na ofisi ndogo zinazohitaji ulinzi wa msingi.
Bidhaa zinazoombwa mara nyingi
BM Contractors tunafanya kazi na bidhaa za security na networking zinazotumika sana Tanzania. Upatikanaji wa brand hutegemea stock, mahitaji ya project na preference ya mteja.
Mifumo iliyoidhinishwa kwa quotation na ushauri wa kitaalamu.
Mifumo iliyoidhinishwa kwa quotation na ushauri wa kitaalamu.
Mifano ya projects
Power BackupSetup ya UPS kwa CCTV na vifaa vya network ili kupunguza kukatika kwa mfumo umeme unapokatika.
Imani ya mteja
Hizi ni aina za maoni na mahitaji ambayo wateja wengi huwa nayo wanapotafuta contractor wa mifumo ya usalama.
“Nilihitaji mtu anielekeze CCTV sahihi kabla ya kununua vifaa. Njia ya site survey hufanya quotation ieleweke vizuri.”
Mteja wa Nyumbani
Usalama wa Nyumba
Maswali ya kawaida
Ndiyo. Site survey husaidia kupanga sehemu za camera, njia za cable, ukubwa wa DVR/NVR, HDD na materials za installation.
Ndiyo. Unaweza kuanzia na package za camera 4, 8, 16, 24 au 32, kisha BM Contractors tutakuongoza kulingana na site yako.
Ndiyo. BM Contractors tunasupport electric fence, gate motors, access control, networking na power backup.
Tuma taarifa za site yako na timu yetu itakuongoza kwenye mfumo sahihi, materials na quotation.
Tunachofanya
Chagua huduma unayohitaji, kisha omba ukaguzi wa site kwa ushauri na quotation sahihi.

Mifumo ya CCTV kwa nyumba, maduka, ofisi, shule, warehouses na maeneo ya biashara, ikipangwa kulingana na mahitaji halisi ya site.

Installation ya electric fence kwa nyumba, compounds, shule, warehouses, biashara na maeneo ya viwanda.

Installation na support ya gate motors kwa nyumba, apartments, ofisi na maeneo ya biashara.

Access control, biometric, door locks, attendance systems na smart entry solutions.

Networking kwa CCTV, ofisi, internet sharing, routers, switches na business connectivity.

UPS na backup power kwa CCTV, routers, access control, ofisi na mifumo ya usalama.
Tunashauri baada ya kuelewa site, coverage na materials zinazohitajika.
Mpangilio wa camera, cabling, setup na testing kwa umakini.
Msaada baada ya kazi kwa matumizi, troubleshooting na maintenance.
Inaanza kutoka
TZS ---
Inafaa kwa nyumba, maduka ya kati, ofisi na biashara zinazohitaji coverage kubwa zaidi.
Inaanza kutoka
TZS ---
Imeandaliwa kwa nyumba kubwa, maduka, ofisi na sites zenye maeneo mengi muhimu ya coverage.
Inaanza kutoka
TZS ---
Bidhaa
Angalia bidhaa muhimu na omba bei au ushauri wa site kutoka BM Contractors.

Vifaa
Package nzuri ya kuanzia kwa nyumba, maduka madogo na ofisi ndogo zinazohitaji ulinzi wa msingi.

Vifaa
Inafaa kwa nyumba, maduka ya kati, ofisi na biashara zinazohitaji coverage kubwa zaidi.
Mifumo iliyoidhinishwa kwa quotation na ushauri wa kitaalamu.
Mifumo iliyoidhinishwa kwa quotation na ushauri wa kitaalamu.
Mifumo iliyoidhinishwa kwa quotation na ushauri wa kitaalamu.
Mifumo iliyoidhinishwa kwa quotation na ushauri wa kitaalamu.

Installation ya gate motor automatic kwa urahisi wa kuingia, usalama na kutumia remote.
Access ControlSetup ya access control kwenye ofisi, ikijumuisha biometric na mfumo wa kudhibiti mlango.
“Kwa duka, sehemu za camera na storage ni muhimu. Ushauri sahihi husaidia kuepuka kununua mfumo usiofaa.”
Mfanyabiashara
Usalama wa Duka
“Kitu kizuri ni kupata timu moja inayoweza kushughulikia security, networking na support kwa pamoja.”
Mteja wa Ofisi
Access na Networking