Imesasishwa mwisho: Julai 2026
Privacy Policy
BM Engineering Contractors LTD tunaheshimu faragha yako. Sera hii inaeleza tunavyokusanya na kutumia taarifa unazotuma kupitia website.
Taarifa tunazokusanya
Tunaweza kukusanya jina, namba ya simu, email, location, huduma unayohitaji, aina ya eneo na ujumbe wako unapojaza contact form au site survey request.
Tunavyotumia taarifa zako
Tunatumia taarifa zako kuwasiliana na wewe, kuelewa mahitaji yako ya security/safety, kutoa ushauri, kupanga site survey na kuandaa quotation.
Kushirikisha taarifa
Hatuuzi taarifa zako binafsi. Tunaweza kushirikisha taarifa muhimu tu kwa timu ya BM Contractors au service providers wanaohusika kujibu ombi lako.
Mawasiliano
Tunaweza kuwasiliana nawe kwa simu, SMS, WhatsApp au email kuhusu inquiry yako, site survey, quotation au support.
Usalama wa taarifa
Tunachukua hatua za kawaida kulinda taarifa zinazotumwa, lakini hakuna website au njia ya mawasiliano inayoweza kuhakikishwa kuwa salama asilimia 100.
Mawasiliano
Kwa maswali ya privacy, wasiliana na BM Contractors kupitia contact details zilizopo kwenye website hii.