Mifumo ya CCTV
Installation ya CCTV kwa nyumba, maduka, ofisi, shule, warehouses na maeneo ya biashara.
Angalia hudumaLoading BM Contractors
Huduma za BM
BM Contractors tunatoa solutions kwa nyumba, biashara, taasisi na sites za viwanda. Chagua huduma hapa chini kisha omba ukaguzi wa site kwa ushauri sahihi.
Huduma zetu kuu
Installation ya CCTV kwa nyumba, maduka, ofisi, shule, warehouses na maeneo ya biashara.
Angalia hudumaInstallation ya electric fence kwa nyumba, biashara na maeneo ya viwanda.
Angalia hudumaInstallation, service na matengenezo ya gate motors kwa nyumba na biashara.
Angalia hudumaMifumo ya milango, biometric, attendance control na smart entry solutions.
Angalia hudumaTuambie location yako na changamoto unayotaka kutatua. Timu yetu itakuongoza kwenye mfumo sahihi na quotation.