Power Backup kwa CCTV
Security System
Setup ya UPS kwa CCTV na vifaa vya network ili kupunguza kukatika kwa mfumo umeme unapokatika.
Loading BM Contractors
Projects na Kazi za Site
Angalia mifano ya categories za projects za BM Contractors. Gallery hii itaonyesha picha halisi za kazi kutoka kwa mafundi na sites zilizokamilika.
Gallery ya projects
Kuanzia CCTV na electric fence mpaka access control, gate motors, networking na power backup.
Picha halisi za projects zitaongezwa hapa BM Contractors tukianza ku-upload kazi zilizokamilika.
Gallery ya projects
Kuanzia CCTV na electric fence mpaka access control, gate motors, networking na power backup.
Security System
Setup ya UPS kwa CCTV na vifaa vya network ili kupunguza kukatika kwa mfumo umeme unapokatika.
Residential / Business
Installation ya gate motor automatic kwa urahisi wa kuingia, usalama na kutumia remote.
Office
Setup ya access control kwenye ofisi, ikijumuisha biometric na mfumo wa kudhibiti mlango.
Compound
Installation ya electric fence kwa compound ikijumuisha energizer, HT wire, insulators na warning signs.
Business Site
CCTV na network setup kwa duka, kusaidia mmiliki kuangalia stock, mlango na maeneo ya wateja.

Residential Site
Kupanga na kufunga CCTV kwa nyumba, ikijumuisha sehemu za camera, cabling na setup ya kuangalia kwa simu.
Omba ukaguzi wa site na timu yetu itakuongoza kwenye mfumo sahihi, materials na mpango wa installation.