Loading BM Contractors
Loading BM Contractors
Installation ya Camera za Usalama
Mifumo ya CCTV kwa nyumba, maduka, ofisi, shule, warehouses na maeneo ya biashara, ikipangwa kulingana na mahitaji halisi ya site.

Installation ya Camera za Usalama
Mfumo mzuri wa CCTV siyo kununua camera tu. Sehemu ya kufunga camera, njia za cable, ukubwa wa DVR/NVR, HDD ya kurekodi, power supply na kuangalia kwenye simu vyote ni muhimu. BM Contractors tunakusaidia kuchagua mfumo unaoendana na site yako, iwe ni nyumba, duka, ofisi, shule, warehouse au compound kubwa.
Omba ukaguzi wa site na timu yetu itakuongoza kuhusu vifaa, materials za installation, labour na quotation.