Loading BM Contractors
Loading BM Contractors
Ulinzi wa Eneo
Installation ya electric fence kwa nyumba, compounds, shule, warehouses, biashara na maeneo ya viwanda.

Ulinzi wa Eneo
Electric fence husaidia kulinda perimeter kabla mtu hajafika kwenye jengo. Tunasaidia kupanga njia ya fence, idadi ya lines, ukubwa wa energizer, earth rods, insulators, warning signs na accessories. Lengo ni kufunga mfumo ulio salama, unaoonekana, uliopangwa vizuri na unaoendana na site.
Omba ukaguzi wa site na timu yetu itakuongoza kuhusu vifaa, materials za installation, labour na quotation.