Loading BM Contractors
Loading BM Contractors
Mfumo wa Gate Automatic
Installation na support ya gate motors kwa nyumba, apartments, ofisi na maeneo ya biashara.

Mfumo wa Gate Automatic
Gate motor huongeza urahisi na udhibiti wa kuingia kwenye eneo. Tunasaidia kuchagua motor, setup ya sliding au swing gate, rails, remotes, safety sensors na support baada ya installation. Pia tunasaidia service na troubleshooting pale gate inapokuwa slow, ina kelele, haifungi vizuri au haijibu remote.
Omba ukaguzi wa site na timu yetu itakuongoza kuhusu vifaa, materials za installation, labour na quotation.