Loading BM Contractors
Loading BM Contractors
Backup Power ya Kuaminika
UPS na backup power kwa CCTV, routers, access control, ofisi na mifumo ya usalama.

Backup Power ya Kuaminika
Mifumo ya usalama inakuwa na maana zaidi ikiwa inaendelea kufanya kazi muda wote. Tunasaidia kulinda CCTV, routers, NVR, access control na vifaa vya ofisi kwa UPS na backup power inayofaa. Hii hupunguza usumbufu wa kukatika kwa umeme na kuongeza uptime ya mfumo.
Omba ukaguzi wa site na timu yetu itakuongoza kuhusu vifaa, materials za installation, labour na quotation.