Loading BM Contractors
Loading BM Contractors
Suluhisho la Umeme wa Solar
Mifumo ya solar panels kwa nyumba, ofisi, maduka, lodges, guest houses na maeneo ya biashara.

Suluhisho la Umeme wa Solar
Mifumo ya solar panels husaidia kupunguza utegemezi wa umeme wa grid na kuweka vifaa muhimu vikiendelea kufanya kazi kwa uhakika zaidi. Kulingana na site, solar inaweza kusaidia taa, mifumo ya usalama, routers, vifaa vya ofisi na baadhi ya matumizi ya nyumbani au biashara. BM Contractors tunamsaidia mteja kufikiria ukubwa wa panels, battery backup, inverter, matumizi ya umeme na mpangilio wa installation kabla ya kuchagua mfumo sahihi.
Omba ukaguzi wa site na timu yetu itakuongoza kuhusu vifaa, materials za installation, labour na quotation.