Loading BM Contractors
Loading BM Contractors
Taa za Solar za Nje
Solar street lights kwa nyumba, compounds, mageti, parking, njia za kupita, shule, lodges na maeneo ya biashara.

Taa za Solar za Nje
Solar street lights ni njia nzuri ya kuongeza mwanga na usalama wa nje bila kutegemea umeme wa grid muda wote. Zinafaa kwa compounds za nyumba, mageti, parking, njia za kupita, shule, lodges, guest houses na maeneo ya biashara. BM Contractors tunasaidia kuchagua ukubwa sahihi wa taa, sehemu za kusimika pole, coverage ya mwanga na mpangilio wa installation ili eneo liwe salama na rahisi kutumika usiku.
Omba ukaguzi wa site na timu yetu itakuongoza kuhusu vifaa, materials za installation, labour na quotation.