Loading BM Contractors
Loading BM Contractors
Mawasiliano na Wageni
Mifumo ya video intercom kwa nyumba, apartments, ofisi, mageti na reception areas.

Mawasiliano na Wageni
Video intercom inarahisisha kuona na kuongea na mgeni kabla ya kumruhusu kuingia. Inafaa kwa nyumba, apartments, ofisi, mageti, reception na maeneo yanayohitaji udhibiti wa kuingia. BM Contractors tunasaidia kupanga indoor monitors, outdoor door stations, cabling, network setup na kuunganisha na electric locks inapohitajika.
Omba ukaguzi wa site na timu yetu itakuongoza kuhusu vifaa, materials za installation, labour na quotation.