CCTV
Naweza kuona camera za CCTV kwenye simu?
Fahamu kinachohitajika ili kuona CCTV yako kwenye simu ukiwa mbali.
Ndiyo, mifumo mingi ya CCTV inaweza kuonekana kwenye simu kama DVR/NVR ina-support remote viewing na site ina internet ya kuaminika. BM Contractors tunaweza kusaidia kuset app, network settings na maelekezo ya matumizi.