CCTV
CCTV inaweza kurekodi siku ngapi?
Fahamu vitu vinavyoathiri muda wa CCTV kurekodi na kupanga storage.
Siku za kurekodi CCTV hutegemea ukubwa wa HDD, idadi ya cameras, resolution ya camera, frame rate, recording mode na compression. Ukaguzi wa site husaidia kukadiria HDD sahihi kwa mahitaji yako.