Gate Motors
Mwongozo wa service ya gate motor
Fahamu lini gate motor inaweza kuhitaji service, repair au adjustment.
Gate motor inaweza kuhitaji service kama inatembea taratibu, inatoa sauti isiyo ya kawaida, haifunguki, inasimama njiani au remote haifanyi kazi vizuri. Service ya mara kwa mara husaidia kupunguza breakdown na kuongeza usalama.