Ukaguzi wa Site
Jinsi ya kuomba ukaguzi wa site
Jifunze taarifa za kutoa unapoomba ukaguzi wa site kwa CCTV, electric fence, gate motors au access control.
Kuomba ukaguzi wa site, jaza jina, namba ya simu, location, aina ya eneo na huduma unayohitaji. Ikiwezekana, elezea idadi ya vyumba, milango, gate, ukubwa wa compound au maeneo unayotaka yawe covered. BM Contractors tutakutafuta na kukupa ushauri wa solution sahihi.