CCTV
Tofauti ya IP cameras na analog cameras
Maelezo rahisi ya tofauti kati ya mifumo ya IP na analog CCTV.
IP cameras hutumia network cables na huunganishwa kupitia NVR au network system. Analog cameras mara nyingi hutumia coaxial cable na huunganishwa kwenye DVR. Chaguo sahihi hutegemea budget, ubora wa picha unaohitajika, umbali na mpango wa kuongeza camera baadae.