CCTV
Nini huwa ndani ya package ya CCTV?
Fahamu vitu vinavyopatikana kwenye package ya CCTV kama cameras, DVR/NVR, HDD, cables na materials za installation.
Package ya CCTV mara nyingi hujumuisha cameras, DVR au NVR, HDD, power supply, connectors, cables na materials za installation. Vifaa halisi hutegemea site, umbali wa cable, aina ya camera na mahitaji ya recording.