
Rejea ya mtengenezaji
InBio Pro Plus Series
Udhibiti wa mlango mmoja, miwili au minne kwa readers zinazooana. Controller huwekwa sehemu iliyolindwa.
Omba bei ya sasa ↗
Huduma kwa mfumo uliopo · Picha ya mtengenezaji
ZKTECO / Vifaa vya Kusajili Alama za Vidole
Kifaa cha USB cha kusajili alama za vidole na namba za kadi za RFID kwenye kompyuta yenye programu inayooana.
OMBA BEI YA SASA
Bei, upatikanaji, leseni na vifaa vya ziada vitathibitishwa kwenye nukuu.
VIPIMO NA UCHAGUZI
Ni kifaa cha usajili, si mashine inayojitegemea ya mahudhurio au mlango. Hakiki programu, SDK, driver, operating system na aina ya kadi; si kila toleo la BioTime litakubali.
Taarifa zimehakikiwa 3 Novemba 2026. Toleo halisi, nyaraka za sasa na tathmini ya eneo ndizo huongoza ufungaji.
Nyaraka za ziada zinaweza kuhitaji akaunti ya mtengenezaji. Hakuna installer inayohifadhiwa au kupakuliwa hapa.

Rejea ya mtengenezaji
Udhibiti wa mlango mmoja, miwili au minne kwa readers zinazooana. Controller huwekwa sehemu iliyolindwa.
Omba bei ya sasa ↗
Rejea ya mtengenezaji
Mahudhurio kwenye seva yako: mashine zinazooana, zamu, ripoti, usajili na mafunzo.
Omba bei ya sasa ↗